Muonekano mpya wa Ali Kiba

Msani wa tanzania Ali Saleh Kiba alishangaza wengi baada ya kubadilisha muonekano wake wa nywele. wengi wa wafuasi wake walionekana kufurahia huku wengine wakiupinga vikali kupitia ukurasa wake wa instagram inayojulikana kama Officialalikiba.