GOOD NEWS

Msani wa injili Kevin Bahati yuko mbioni kuwachia kazi mpya akimshirikisha msani wa tanzania Asley Isihaka. Wawili hao walionekana Zanzibar wakitayarisha video ya ngoma yao mpya. je, unadhani ngoma hiyo itakuwa hatari ama ya kawaida tu?