KUMBE ILIKUWA KIKI!!?

Baada ya msani wa injili Ringtone kutangaza mapenzi yake kwa Zari wiki moja iliyopita, sasa hivi ako tayari kuwachilia kibao chake mpya ainayoitwa ”THIS YEAR” aliyoishirikisha  msani Ada kutoka Nigeria. Wananchi wengi wameona nikama msani huyo alikuwa anajaribu kusaka  kiki kwa kutumia jina la Zari ili watu wengi wapate kujua kuhusu nyimbo yake mpya.