ipo jikoni!!

Msanii wa hip hop Khaligraph Jones aliandika kwa ukurasa wake wa instagram kuwa mashabiki wake wakuwe tayari kwa nyimbo mpya ambaye ameshirikisha kundi maarufu nchini Sauti Sol. Khaligraph jones na Sauti Sol walionekana wakitayarisha video ya nyimbo hiyo sehemu flani jijini. je, unafikiri nyimbo hiyo itakuwa kali ama itakuwa ya kawaida tu?