Omarion yupo mjini!!

Msanii wa Marekani Omari Ishmael Grandberry a.k.a Omarion yupo kenya, msanii huyo amekuja mjini kwa ajili ya kusaidia Diamond Platinumz kwa uzinduzi wa album yake mpya ya A BOY FROM TANDALE.