Msanii Pitson apata mtoto wake wa pili

Msanii wa injili Pitson kupitia kwa ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa yeye ni mzazi wa watoto wa wawili baada ya mke wake kujifungua, Wamempa mtoto wao jina la Taji.