Diamond Platinumz amjibu naibu wa Basata Juliana Shonza.

Msanii wa Tanzania Diamond amewaponda Barasa la sanaa la taifa (BASATA)  baada ya wao kukataa kumjibu kuhusiana na interview aliofanya Platinumz ndani ya times fm. Diamond alisema yafuatayo

“Swala la Barua Unalijua leo baada ya Kukosa Point sahihi? Ungekuwa unajua kama taratibu sahihi ni Kuandika Barua, Mbona hukuwatumia pia Wasanii barua zakuwa unafungia kazi zao?… kwakuwa Uliyapeleka Social Media na Radio, nami nikakupelekea huko ili uenjoy Zaidi…❤