Jay Z na Beyonce juu ya piki piki kule Jamaica

Msanii tajiri wa hip hop Jay Z alionekana akiendesha piki piki huko jamaica akiwa  na mkeo Beyonce, wawili hao walikuwa  mji wa Trenchtown alikozaliwa Bob Marley. Inasemekana wako ziara ya kutayarisha  video yao mpya.