Je, wanatafuta kiki ama ni utani tu??

Khaligraph jones na kundi la Sauti sol wameonekana wakirushiana cheche za maneno kule instagram, Sauti sol waliweka picha ya Papa Jones na kumponda, vile vile Khaligraph akawaposti na kuwandika maneno flani kuhusu Sauti sol.Mashabiki wamebaki wakijiuliza kama washikaji hao wanataniana ama wanatafuta kiki ndo waachilie kazi yao mpya.