Sanaipei Tande asherehekea miaka 33 ya kuzaliwa

Msanii, mtangazaji na  muigizaji Natasha Sanaipei Tande alitangaza kuwa anasheherekea miaka 33 ya kuzaliwa. msanii huyo amekuwa kwa sekta ya burudani kwa takriban miaka kumi sasa, nyimbo yake wa Amina inazidi kufanya vizuri mitandaoni.