DIAMOND AMKUMBATIA HAMISA MOBETTO KWENYE TAMASHA YA SINEMA ZETU KULE TANZANIA

Baada ya wiwili hao kuonekana wakikumbatiana na kuonekana wakiwa na furaha tele mashabiki wamebaki wakijiuliza kama Diamond a.k.a Simba ameaumua Hamisa ndiye kipenzi cha roho. Hapo zamani kidogo Diamond Platinumz alikuwa amemponda Mobetto kupitia kwa ukurasa wake wa twitter na kusema binti huyo alikuwa anataka kiki tu. Diamond alitangaza kuwa atafunga ndoa kabla mwisho wa mwaka, wengi wanazidi kuona atachagua nani kati ya Hamisa na Wema Sepetu.