Mpiga picha wa Diamond Platinumz awacha kazi

Kifesi, ambaye anajulikana kwa kupiga picha safi sana aliandika kuwa amewacha kazi yake ili kufanya mambo mengine, jambo ambalo ilishangaza watu wengi kwa kuwa Diamond ni msani bora sasa hivi na inamaanisha hela si shida. Ata hivi, dadake Diamond Esma Platinumz aliandika kuwa kifesi aliwachishwa kazi kwa sababu ya kufuatilia maisha ya boss wake Diamond Platinumz. Kifesi alikuwa ameandika kwa ukurasa yake wa instagram kuwa Diamond alifanya kosa kubwa kuwachana na mama wa watoto wake wawili Zari na hatapata mwanamke mwengine kama huyo.