Msanii Akothee Hospitalini mara ya pili!! Je kulikoni?

Akothee a.k.a Madam Boss amelezwa hospitalini mara ya bili wiki chache tu baada ya yeye kuonekana akiwa mle mle. Msani huyo ambaye kibao chake mpya ainaiyoitwa Oyoyo aliyomshirikisha Mc Galaxy ameomba mashabiki wake wamuombe.