Huyu ndiye boyfriend wa Tracy Wanjiru

Team mafisi wamekuwa wakijiuliza  kwa muda mrefu nani ndiye nahodha wa  Tracy Wanjiru, mtangazaji huyo amekuwa akiweka siri maisha yake ya  kimapenzi lakini wiki iliyopita aliweza kuonyesha mashabiki boyfriend wake.