Bouncer Aliyemua Msanii Radio aomba msamaha

Bouncer Wamala Godfrey a.k.a  Troy ameomba familia na mashabiki wa  Mowzey Radio msamaha na kusema kuwa hakutaka kumua Radio ila Radio aliteleza mikononi mwake na kumfanya akagongesha kichwa chake kisa ambacho ilimsababisha Radio kupoteza fahamu na kukimbizwa hospitalini Case na siku kumi baadaye kukata roho.