Diamond Platinumz aliwasha Dudee!!

Diamond ameshangaza wengi baada ya kupost kwa instagram story yake video inayonyesha akipiga mechi na model flani.baada ya hapo msanii huyo ameonekana  na mama wa mtoto wake Dully Hamisa Mobetto chumbani kule kule wakikumbatiana, cha kushangaza ni kuwa mdogo wa Simba ambaye ni  Harmonize alikuwa akitazama mchuano huo. Mashabiki wa Diamond wametoa hisia mbali mbali, kuna wenye wamemkashifu msani huyo huku wengine wakimshauri ajipe raha mwenyewe.Msanii huyo aliondoa video