new couple in town! Otile Brown na Vera Sidika

Wawili hao wamekuwa wakionekana pamoja na pia kupost videos kwa mitandao huku wakiitana “BFF”. Vera Sidika ambaye alikuwa amechukua likizo mtandaoni sasa amerudi kwa vishindo huku akifungua ukurasa wake mpya wa Youtube ambayo atakuwa akisimulia maisha yake ya kila siku. je, hii couple ni ya kuduma ama ni kiki tu wanasaka??