ipo jikoni!!

Msanii wa injili Willy Paul ameonekana akitayarisha video ya nyimbo wake  mpya ambayo amemshirikisha msanii wa tanzania Harmonize. Hii bi baada ya Bahati kuonekana pia na msanii mwingine wa Wcb Mbosso wakiwa kwa studio. wakenya wanangoja kazi za wasani hao wa injili.