Msanii Shavey amefariki!!

Aliyekuwa mmoja wa wasani waliyoimba nyimbo  “Gyal” amefariki, inasemekana msanii huyo aligongwa na matatu mtaani kayole. Shavey alikuwa msanii hodari wa dancehall ingawa alikuwa amepotea kwa game kwa muda mrefu. Rest in peace Shavey.