Bad man shivo afunga ndoa

Msanii Otile Brown alionekana sehemu flani akiwa na mrembo, wawili hao walionekana wakiwa na  mavazi ya arusi na inaeza kuwa msanii huyo ameamua kufunga ndoa. Baadhi ya mashabiki wanadhani ni kazi yake mpya. je, maoni yako ni yepi?