Ali kiba afunga ndoa na binti wa kenya

Msanii maarufu kutoka Tanzania Ali Saleh Kiba leo alifunga ndoa na binti mkenya kutoka mombasani, wawili hao wamekuwa wapenzi tangu 2016. miongoni mwa watu walioshiriki katika sherehe yake Kiba ni governor wa mombasa Joho, Mtangazaji jamaal na wengine wengi. Kiba ako na watoto watatu tayari.